1. Kutapika Damu. - Kutapika damu ni hali ambapo damu inatoka kutoka kwenye mfumo wa kumeng'enya na kutokea mdomoni wakati wa kutapika. Hii inaweza kuwa dalili ya matatizo mbalimbali kama vile vidonda vya tumbo, vidonda kwenye utumbo, au kuvimba kwa kuta za tumbo. Ni muhimu kutuona/ kuwasiliana nasi ili kupata matibabu..
2. Tumbo Kuwaka Moto. - Tumbo kuwaka moto, au heartburn, ni hisia ya joto, kuungua, au kuchoma katika eneo la chini la kifua, karibu na tumbo. ambapo mara nyingi hutokea baada ya kula chakula kizito au kula vyakula vyenye viungo vikali. Ni muhimu kuepuka vyakula vinavyosababisha tumbo kuwaka moto na kutumia dawa za kudhibiti asidi za tumbo ikiwa ni lazima.
3. Kushindwa Kula Baadhi ya Vyakula na Dawa, Mfano Bamia. - Kushindwa kula baadhi ya vyakula au dawa kama vile bamia inaweza kuwa dalili hisia mbaya baada ya kula. Mzio kwa vyakula ni hali ambayo mfumo wa kinga ya mwili unajibu vibaya kwa vyakula fulani, na hii inaweza kusababisha dalili kama vile kichefuchefu, kutapika, au hata kutapika damu. Ni muhimu kupata matibabu sahihi.
Pata dawa ya Moyo uliotanuka,, ni hali ambapo moyo unaongezeka ukubwa, mara nyingi kutokana na misuli yake.....
Soma ZaidiTiba ya figo inalenga kudumisha afya ya figo na kurejesha au kuboresha utendaji, kwa kesi za matatizo ya figo......
Soma Zaidi