1. Mapigo ya Moyo Kwenda Kasi (kupanda). - Mapigo ya moyo kwenda kasi ni hali inayojitokeza wakati moyo unapopiga kasi zaidi ya kawaida. Hali hii inaweza kusababishwa na mazoezi makali, msongo wa mawazo, homa, au matatizo ya moyo. Dalili zinazoweza kuambatana na hali hii ni pamoja na kukosa pumzi, kizunguzungu, maumivu ya kifua, na wakati mwingine hata kiharusi. Ni muhimu sana kuwasiliana nasi kwa ajili ya matibabu mara moja ikiwa utaona dalili hizi, mapigo ya moyo yanatibika na utakuwa sawa kiafya.
2. Mapigo ya Moyo Kushuka. - Mapigo ya moyo kushuka ni hali inayojitokeza wakati moyo unapopiga polepole zaidi ya kawaida. Hii inaweza kutokana na matumizi ya dawa fulani, matatizo ya shinikizo la damu, au matatizo ya mfumo wa neva kama vile ugonjwa wa moyo wa umeme. Dalili zinazoweza kuashiria hali hii ni pamoja na kizunguzungu, kuchoka, kukosa nguvu, na wakati mwingine kuzirai. Ni muhimu kututafuta kwa ajili ya matibabu kama unaona dalili hizi, Pata tiba kwa afya njema.
Mtoto atapata dawa ili kurejesha furaha ya mwanao kutokana na kunywa maji wakati wa kujifungua kwa njia ya.....
Soma ZaidiPata dawa ya Moyo uliotanuka,, ni hali ambapo moyo unaongezeka ukubwa, mara nyingi kutokana na misuli yake.....
Soma Zaidi